Post Jobs

Jinsi ya kupika wali wa maji tu

Is a Tanzanian Blog which prepare different food recipes found all over the world. Here you get the chance of reading Swahili and Non Swahili recipes found across the world. The recipes are written by two languages i. Welcome all to read and leave your comment about our recipes. Karibuni Nyote mjifunze mapishi ya Kiswahili na mengineo yanayopatikana dunia nzima. Karibuni mjifunze na tunakaribisha maswali na maoni tutakujibu haraka iwezekanavyo.

Ahsanteni Sana. Chapisha Maoni. Pages Nyumbani Mapishi. Shiriki kwenye Twitter Shiriki kwenye Facebook. Labels: DesertVichapuza mlo.

Chapisho Jipya Taarifa za zamani Nyumbani. Tafuta Mapishi katika Blogu Hii. Mapishi Yaliyosomwa Zaidi. Tangawizi iliotwangwa kusagwa vijiko Vitunguu thomu punj Viazi mb Urojo ni mchanganyiko wa vyakula mbali mbali pamoja na uji uji wake katika bakuli moja. Hapa nitaeleza jinsi ya kuupika huo uji uroj Unga Robo Hairuhusiwi kuchukua mapishi ili kutengeneza kitabu hatua za sheria zitachukuliwa kwa atakaekiuka.

Inaendeshwa na Blogger. Kunihusu Unknown Tazama wasifu wangu kamili. Maandazi Ya Mafuta Keki. Shiriki Nasi Facebook Safia Jikoni. Popular Posts.Weka pakiti ndogo ya amira yenye ujazo wa gramu 11 yoote kwenye unga wako wa kilo moja. Kisha weka chumvi nusu kijiko kidogo cha chai chumvi hii husaidia kupunguza mafuta ndai yaa andazi baada ya kuiva andazi lako litakua halina mafuta safi na salama kwa mlaji.

Weka sukari gram katika unga wako. Baada ya hapo weka mafuta ya moto ujazo wa kikombe kidogo cha chai au gr Kanda mchanganyiko wako safi kwa kutumia nguvu na umakini mpaka mchanganyiko wako uwe laini. Mchangyanyiko wako kama uko bado ni teketeke na ulizidisha maji kidogo weka unga kiasi kisha endelea kukanda mpakja uwe mkavu na laini.

Shepu vizuri tayari kwa maandalizi ya kusukuma na kukata. Sukuma unga wako mpaka saizi ya unmene halisi wa andazi lako utakavyopenda liwe. Kisha tumia kitu chechote kile kukatia kwa umbo lolote lile utakalo lipenda.

Yaache kwa muda wa dakika 10 baada ya kuyakata yaumuke kisha itakua tayari kwa kuyachoma. Baada ya kukata maumbo mazuri ya duara unga unaobakia unaweza viringisha maumbo tofauti kama uonavyo katika picha pia unaweza tengeneza hata herufi.

Pasaha mafuta yako katika moto wa wastani yasiwe na moto mkali utapelekea maandazi yako kuungua kisha yaweke katika moto na geuza kila mara ili yasivimbe upande mmoja na ikawa vigumu kuyageuza. Hili ni anfazi lako safi limeshaiva na halina mafuta ndani na safi kabisa. Mail:arushaclan gmail.

Wali wa kukaanga

Email This BlogThis! Share to Twitter Share to Facebook. Tumblr Online Counter. Popular Tags Blog Archives. Fatilia hapoMaandalizi; dakika 10 Muda wa kupika; dakika 10 Muda jumla; dakika Vikombe 2 wali uliopikwa Vijiko 2 vya chakula mafuta ya kupikia Kijiko 1 cha chai kitunguu saumu Kitunguu maji 1 cha wastani Karoti 1 Kikombe 1 maharagwe machanga Kitunguu cha majani.

Vijiko 2 vya chakula sosi ya soya Kijiko 1 cha chakula mafuta ya ufuza Ukipenda Kijiko 1 cha chai tangawizi ukipenda Mbegu za ufuta ukipenda. Andaa viungo; katakata maharagwe, karoti, majani ya kitunguu na kitunguu maji vipande vidogovidogo sana; Twanga kitunguu saumu na tangawizi, weka pembeni. Kwenye kikaangio kikubwa katika moto wa juu kiasichemsha mafuta. Ongeza kitunguu saumu mpaka kiive, halafu uongeze kitunguu maji.

Pika mpaka kiive. Changanya sosi ya soya, mafuta ya ufuta na tangawizi kwenye bakuli, weka pembeni. Ongeza mchanganyiko wa sosi na kitunguu cha maji. Pika kwa dakika nyingine 1, ipua. Napenda Sana hiki chakula,kitamu mno, ila sijawah pika mwenyewe, ila nitajaribu, Ahsante dada.

Dada Jane unatusaidia wengi napenda kubadilisha pishi…ila siunaweza pika zaidi ya vikombe vili vya mchele? Swali lingine mchele tuna chemsha tu? Wali pika kiasi unachotaka wewe, zidisha viungo vingine vyote au kadiria kiasi utakachoona kinatosha. Mchele unapika kama wali wa kawaida, mimi nimetumia kiporo cha wali wa kawaida tu wa kuchemsha na maji, mafuta na chumvi. Unaweza pia kuongeza au kupunguza viungo vingine ambavyo unapendelea wewe. Nmejaribu sikujuaga kama naweza tumia soy sauce kwenye wali i was really amazed kilivyoturn out to be waaay delicious, thanks Jane.

Dada jane nakupenda utanifanya niwe mwanamke mpambanaji natalajia kua mama ntilie napenda kupika ila sikua najua nitaandaaje chakula viungo kiungo gani nitaweka ilinipate chakula kizur lengo langu naimani litatimia nakupenda dada jane.

Skip to content. Share this with others:. Like this: Like Loading Rahisi sana kupika, unahitaji dakika 20 tu maandalizi na kupika.

Jinsi ya kupika jollof rice mtamu sana ( Wali wa nchi za Africa Magharibi)

Good luck. Asante sana nilikuwa nikiona tu sasa nitajifunza kwa kumpikia mpenz wngu siku yake ya kuzaliwa. Sijafahamu sosi unaipika kisha unamwagia au unaweka ktk mchanganyiko wa wali? Leave a Reply Cancel reply. Previous Post Previous Chicken Masala.

jinsi ya kupika wali wa maji tu

Next Post Next Chapati za kumimina zenye oatmeal na nutella.Kaka Inshallah nitapika mapishi fulani katika birthday ya mtu halafu nitapiga picha nikutumie. Yaami kaka nashukuru sana kwa elimu hii ambayo ni nadra kuipata kama hivi. Ninaipenda sana blog yako na ni lazima niifungue kila siku kwa kuwa ninapenda sana kupika na kwa kweli haya maujuzi unayotuongezea yanatupa credit sana tu majumbani mwetu.

Asante sana na Mungu akubariki! Du kaka yangu yaani hapa umenusuru ndoa yangu yaani kumbe nilikua sijui kupika kabisa!!!! Endelea kutuelimisha hivyo hivyo! Post a Comment. Huu ni muonekano wa wali wa maji uliokwisha pikwa ukaiva. Weka mafuta yapete moto kisha weka kitunguu maji kilicho katwa katwa safi pamoja na kitunguu swaumu kaanga kwa dakika 2 tu kilainike.

Kisha weka mchanganyiko wa viungo vyako vyote vilivyobakia katika kikaango au sufuri kisha kumbuka kukoroga ili visishike na kuungua chini ya chombo unachopikia. Baada ya kuiva viungo vyako weka wali wako uliokwisha iva ndani ya viungo hivyo changanya haraka na kwa umakini zaidi mpaka wali wote uchanganyike vizuri na viungo vyote na kubadilika rangi safi kabisa.

Huu ndio muonekano safi kabisa wa wali wako ukiwa tayari kwa kuliwa na kinachoonekana hapa ni zabibu kavu tu mhhh wali huu ni mtamu sana sana. Baada ya pilau lako kuiva tafadhali kumbuka kulipamba katika sahani usipakue kwenye hot pot pilau yako safi imalizie kwa muonekano safi kabisa na unaovutia. Huo ni muonekano halisi wa kitunguu kilichokatwa na karoti iliyokwaruzwa. Weka siagi yako katika sufuria kisha weka vitunguu kaanga kidogo. Kisha weka karoti pia kaanga ziiive kiasi.

Huu ndio muonekano wa karoti imeshaiva. Hakikisha unachanganya safi kabisa mapaka karoti na wali vinachanganyika safi. Kisha tengeneza shape nzuri ya wali na weka katika sahani. Wali huu unaweza kula na mboga yeyote ile na utakua umewashangaza wageni kwa ubora na ladha ya chakula ulichowaandalia furahia weekend na familia yako hujachelewa.

Newer Post Older Post Home. Subscribe to: Post Comments Atom. Savei Metal Arts. Mama na Mwana. The scope of my experience includes food production in cold kitchen, Pastry, Banqueting, A la carte, staff training and carving. View my complete profile. Free Counter The following text will not be seen after you upload your website, please keep it in order to retain your counter functionality pushplay.Free Online Counter.

Mapishi Bidhaa Huduma Wachuuzi Tafuta. Wali wa viungo. Na Dadia Msindai Imesomwa mara Kuandaa: dakika 10 Mapishi: dakika Wali huu bado ulikua jikoni ila watu wameniomba niwaelezee jinsi ya kuupika.

Mahitaji Mchele nusu kg Vitunguu maji 3 Karoti 4 kubwa Mafuta vijiko 3 vya chakula Chumvi kijiko 1 cha chai Pilipili hoho 1 Kitunguu saumu 1 Pilipili manga nusu kijiko cha chai Iriki iliyosagwa nusu kijiko cha chai.

Wapi kwa kupata bidhaa? Je wewe unauza hivi vitu kwenye biashara yako? Bofya hapa kutuma maelezo ya biashara yako hapa ili uweze kuwafikia walaji wako. Maelekezo Osha mchele,uache kwenye maji. Menya karoti katakata, vitunguu maji menya ukate kate. Kitunguu saumu menya kiponde na pilipili hoho katakata. Bandika sufuria jikoni, weka mafuta na vitunguu maji koroga kama dakika 2 weka vitunguu saumu, usiache kukoroga.

Weka karoto na pilipili hoho, weka iriki na pilipilimanga kisha funika. Weka mchele na chumvi, weka na maji kama kikombe kimoja na nusu cha chai.

Funika maji yakikauka, usiugeuze ibanike baada ya dakika 10 uangalie, ugeuze onja kama bado una kiini ongeza maji kama vijiko 5 vya chakula. Funika ukija kuangalia utakua umeiva. Sasa jirambe. Salad yenye sausage. Supu ya Kuku.

jinsi ya kupika wali wa maji tu

Sandwich ya kienyeji. Juisi yenye karoti, chungwa na peach. Toa maoni yako Jina. Copy maandishi ya picha kwenye box ili kuhakiki fomu. Tuma Maoni.Free Online Counter. Mapishi Bidhaa Huduma Wachuuzi Tafuta. Roast ya kuku, nazi na maziwa. Na Charlotte Misosi Imesomwa mara Unaweza kula mboga hii pamoja na wali, ugali au kuchanganya na macaroni au tambi.

Kizuri zaidi ni ladha ya kipekee unayoipata kutokana na mchanganyiko wa viungo. Wali wa nazi na maziwa. Katika kuvunja miiko ya kuandaa chakula, tuko radhi kutafuta njia tofauti za kupika na kuongeza ladha kwenye mapishi yetu.

Haya ni mapishi murua ya kuongeza appetite kwa mlaji. Mapishi ya tambi na kamba. Chakula kinachokupa ladha ya kipekee kutokana na utayarishaji wake. Ni moja kati ya vyakula rahisi bali kwa mapishi haya hakika unapata ladha halisi ya mapishi ya tambi pamoja na mchanganyiko wa viungo tofauti.

Ukila chakula hiki utaelewa umuhimu wa kutumia muda kujifunza aina tofauti za mapishi. Samaki wa kupaka. Na Dadia Msindai Imesomwa mara Haya ni mapishi mahsusi ya kuamsha vionjo vyako vya ulimi. Ladha ya nazi kwenye huyu samaki ni murua kabisa kuliwa kama mlo kamili nyumbani. Hii mboga inayofaa kuliwa na vitu tofauti, lakini mahsusi kwa wali wa nazi.

Unaweza pia kula kwa vitafunwa mbalimbali kama chapati au maandazi. Kama kweli unapenda kujinoga na misosi ya ukweli, basi jaribu haya mapishi na kujiramba vizuri, hutojutia nafsi yako. Tambi za hiliki na sukari. Chakula rahisi kwa kupika, lakini ladha yake ni tamu. Mchanganyiko wa rangi unakupa hamu ya kula. Ni vizuri pia kama ukila chakula hiki kwa salad ya nyanya, pilipili hoho na karoti ambayo inaongeza appetite sababu ya mchanganyiko wa rangi mbalimbali.

Ndizi za kuunga na nazi. Kuna aina tofauti za ndizi — malindi, mkono wa tembo, bukoba, na nyingine kibao. Haya mapishi unaweza kupika aina yeyote ya hizo ndizi, ili mradi tu ziwe hazijaiva.

Uwepo wa nazi kwenye hiki chakula unahakikisha uhalisia wa ladha na utamu wa kipekee. Unaweza kula hizi ndizi kama kitafunwa cha chai, chakula kamili au chakula kiambato ukiwa na chakula kingine mfano wali, tambi au ugali. Tambi za nazi, njegere, hiliki na sukari.

Unaweza kupika tambi kwa aina tofauti, na bila shaka umeshajaribu na kuonja mapishi mengi. Mapishi haya yanakuja na ladha tofauti kidogo kwa kuweka ladha ya nazi na njegere.

Jinsi ya kupika wali mseto

Mie napenda sana nazi, na pia napenda tambi. Njegere hukipa chakula hiki upekee wa ladha. Kila nikiwa naandaa chakula hiki huwa natokwa na udenda. Chakula kina harufu nzuri, muonekano mzuri na ladha tamu mdomoni.Is a Tanzanian Blog which prepare different food recipes found all over the world. Here you get the chance of reading Swahili and Non Swahili recipes found across the world.

The recipes are written by two languages i. Welcome all to read and leave your comment about our recipes.

Karibuni Nyote mjifunze mapishi ya Kiswahili na mengineo yanayopatikana dunia nzima. Karibuni mjifunze na tunakaribisha maswali na maoni tutakujibu haraka iwezekanavyo.

Ahsanteni Sana. Ninahitaji wapishi wazuri waliyesomea mapishi ya Vitafunwa, na vyakula mbalimbali kwaajili ya mgahawa wa kisasa. Ninahitaji mpishi mzuri aliyesomea mapishi ya Keki na Mikate, maombi yakiambatanishwa na vyeti yatumwe kwa anuani hii Chapisha Maoni.

Wali Wa Karoti Na Nyama

Pages Nyumbani Mapishi. Shiriki kwenye Twitter Shiriki kwenye Facebook. Chapisho Jipya Taarifa za zamani Nyumbani. Tafuta Mapishi katika Blogu Hii. Mapishi Yaliyosomwa Zaidi.

jinsi ya kupika wali wa maji tu

Tangawizi iliotwangwa kusagwa vijiko Vitunguu thomu punj Viazi mb Urojo ni mchanganyiko wa vyakula mbali mbali pamoja na uji uji wake katika bakuli moja. Hapa nitaeleza jinsi ya kuupika huo uji uroj Unga Robo Hairuhusiwi kuchukua mapishi ili kutengeneza kitabu hatua za sheria zitachukuliwa kwa atakaekiuka. Inaendeshwa na Blogger. Kunihusu Unknown Tazama wasifu wangu kamili. Maandazi Ya Mafuta Keki. Shiriki Nasi Facebook Safia Jikoni.

Popular Posts.